
Woo Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Woo - Boutross
...
Sipendi hizo story za five star
food serviwa mara saba(serviwa mara saba)
Iyo jalo umedunga n mbaya kwani
hiyo mali ya ulaya(ya ulaya)
Huyu rapper anasema experience
studio ameingia mara saba
Kijana wa pampas hadi kahawa anakunywanga scuppers
Kujifanya anakatia huyo mwarabu
kumbe nimekujisha orosho
Alikuja kwa game ya real amedungia ati jezi ya barca
Kunatime nilidedi dem alikua anazitoka kwa baglers
Time nilikuanga nachizi ngeus alikua anazirusha vibaya
Wanasema ati mi chipukizi pigiwa hiyo story akibanja
Amnakujifanya kama hiyo picha inanyonga vibaya
Alisemanga anakindanga kilo na kumbe huyo boy ni kiwanda(kiwanda)
After hiyo make up umepaka niaje huyo bae anakaanga dimanga
wow wow wow wow wow yoh yoh
Nimepinga hiyo mboka nabado nimerudi nabado mi ndio naitwanga mbuzi
Alidai nimpigie hiyo paka kwa parking ka ye n Lilian muli
Kunaday nilikuweka kwa shadow na we ndio bado
Ashaanza kubonga vibaya