Rieng ft. Kay Green & Dope-I-Mean Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Rieng ft. Kay Green & Dope-I-Mean - Boutross
...
....
eyaaa eyaa...
kama n dem tingisha... kama n ngwai pitisha . .kama n tei itisha ama unadhani unaeza tutishaa x2
buda ujui kucheza n rieng x4
ama unadhani unaeza tutishaa buda mi naleta misaa , buda ujui kucheza n rieng x2
we unadhani unaeza tutishaa ,, uko sure utachachishaa.. maskio ndo umelalishaa. . dem yko akilambishwa... kama ni wera nda duu... hapa manzee tuko stuu(ey).. haters coming at the blue (ey)manze du vile utaduu..(ey)..c unajua muwamimblein
(ey)nilishindwa kumaintain (ey)kula vboko n cane (ey) slay queen getting slain... mi n boy nko fresh , shambala.. on the neck, nukiduu niwe vex ...on your booth mi na flex... buda unacheza n rieng.. buda unacheza n rendee... buda unacheza n caine... buda unacheza n pembe,.. buda unacheza n tembe.k green nakohembe (◉‿◉)sshyei)... yaah)
kama n dem tingisha..kama n ngwai pitisha ..kama n tei itisha..ama unadhani unaeza tutishaa...x2ama unadhani unaeza tutishaa?...Buda ujui kucheza n riengx4 ama unadhani unaeza tutishaa...Buda mi naletaa misaa bda ujui kucheza n riengx4 (yeah,yeah)Buda joh cheki io clarity mazee nachezaa n red ..kama n shasha ni a1 mazee unacheza n zed..nina magoroo ma silver ..mazee unacheza n led.. Buda joh chai n mingii .. of course tunameza n bread....ofcos atameza the head ofcos atameza the ishh that I fed ...kama n pimwi una Beng chapa ilalee n chapa ibend..
simu nazima weekend maze nazama kwa ziwa deep end...mazee nasakaa sideng kumbe kibongo nataka itweng...
mi huita mlango dirishaa...hedi n kama militia ..dawa y Moto n Moto buda iwashee alafu pitishaa....kama hishikii shikishaa..kama hishikii n shishaa ...kabla nidis(θ‿θ)hii ivishaa ...msupa anadishi nisishaa
(eeey)kama n dem tingisha ...kama n ngwai pitisha...kama n tei itisha ama unadhani unaeza tutishaa?x2 ama unadhani unaeza tutishaa...Buda ujui kucheza n rieng x4ama unadhani unaeza tutishaa buda mi.....n chika joh