Local ft. Breeder LW Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Local ft. Breeder LW - Boutross
...
[Verse 1 Boutross]
Unatoa mafeeling ka wasee wa malofa,unatoa ni Ka time ya abortion
Breeder waambie bado wasubiri mzoga,wakiapproach waapproacch na caution
Mbagathi cruising shortgun wifey,shrapmix ngwai ikiwaka moto maboy Fulani hudai ati wao huchachisha, naniliskia wao huball na Lawson
Five figures ndio naitisha promoter flani alitry kunipima
H** hatari alitry kunitinga,hiyo mboka muss alidinda
Eeei backstage mambleina figures ,nikifika ati ndio wanaizima
Ati shaash buda ndio unaninyima,walishtuka ati loud iliakishiwa
Mi Niko works sina time ya uzembe, mboka ndio ilifanya nimtende
Kwa hii gun fight hata hauku come na dagger,buda we ulicome na wembe
Shrap god Nina vocal license, mistaken as the nicest
This big shorty alicome mtaani,alishtuka vile boy ana bisceps
upstairs kwenye bed and bedroom,rich sex tukiburn sativa
Big girl kalia boy Kwa uso,hii game ishakuwa tongue twister
shida kelele madam kuchachisha, neighbour anadhani ngeus anapigwa
pap pap mabanger wanabisha, kumbe ule mbleina alipigwa
[Chorus]
OOhhh! lord OOhhh! OOhhh! lord
I think I think it's time we take this to the bedroom I think I think it's time
that we make sure all the women are good,can I get an Amen can I get an (Aaaamen)(OOooo*lordy lord lord)
[Verse 2: Breeder LW]
Ni TK boss na Shrap god, track tamu ka ikona na lacrose na fructose
ongeza volume na utapigwa ukipress pause,I want it all usigawe sitaki fruction
na si no hit sio miss,wapi slim na mawinch
pull it up kabisa hii ndio ngoma itaanza mix, na ikikubamba pia unaweza share link
na control hii ngoma unaweza niita referee
top dog me hubweka na nauma pia,si tuko ndani wako inje wakichungulia
when I was down I was humble nikivumilia, now I am the man ndio najipiga kifua pia
tushaa wakishika kila mtaa tukifika, action time kama thriller za seagal
siku hizi jina inazunguka bila media mi nadai ganji na si mawaitha
manzi we unateka me na blue tik,huyu si bibi huyu ni groupy
Mi nilizaliwanga na ma mood swing so no lie nitakutusi ukiniudhi
jinare na niky Kwa pori ni mathao,lakini ukinihanda siwezi kuita karao
Preacher ndio back up we never back down,para za kitike joo sitoki uptown.
[Chorus]