Wrong Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Wrong - Boutross
...
Kama si cheque, buda usini call number ni wrong
Kama si ganji, acha mtu IG hanging, ey
Wacha wakuwe na makali mi Buty naenda kushika makali, ey
Buda niliachanga kusota siku hizi nazipanga tu ka mlami, ey
Nachora vile ntasonga mbele, buda zenyu ni kelele, ey
Vile walikuwa wamedoz ni kama mafala wamewekewa matembe, ey
Mi ni ka boy ka mtaani lakini niko Karen nikidinya hawa walami, ey
Vile nasave mangeos siku hizi naitangwa tu hodari, ey
Mistari inatisha, geri ni kutoka kumi na sita, ey
Vile hii game nai winda nashindwa mbona bado sijaskika, ey
Buda na vuta umati word on the street ni geri ni safi, ey
Buty ni zawadi ya mtaani ya wale wote hawakubali kipaji, ey
Kama si cheque buda usini call number ni wrong
Cheza na rieng, acha kuniharibia form
Ka wewe si peng
Buda usini call number ni wrong
Nadai kadame kamebeba ki Corazon
Mbona ustress buda mi hubonga na Don
Geri hatari si hugeuza kaform
Buda usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi, thought ulijua kaform
Kama ni ndeng'a swali ni mbona unadoze tu kavu, ey
Haujaambiwa hao mandeng'a ndio wanakuwanga na ma tabia nyaru, ey
Piga pete kitu safi mpaka utambue hiyo punyeto chafu, ey
Wanapenda mapanya ju wao huskizana tu na mambaru, ey
Roho ya watu chafu ju niko kwa sofa na hao kwa sakafu, ey
Vile naona mboka ikijipa utaniona soon nikidunga barafu, ey
Waliita shrap ujinga sahii hii ujinga buda inashika, ey
Hao mangeos wote waliringa mi nita wadinya na buda me sitaficha, ey
Buda nipate kwa kitchen me sikati me nakoroga, ey
Buda ata vile nabonga utajua maboy wangu wote wako mboka, ey
Cheki ngeos wako aliomoka vile Mus ali pull out the Rover, ey
Buda ni 2019 nilithani watu waliachana na hao manyoka, ey
Vile hii game inatamba cheki ma opponents nao wamechoka, ey
Vile huyu dame anagawa na bado maboy wanadai kuichota, ey
Boy jaribu kuzoza urudi mtaa na face tat ya ma timber, ey
Buda niliachanga hiyo number ndio usinitafute unaweza piga
Kama si cheque buda usini call number ni wrong
Cheza na rieng, acha kuniharibia form
Ka wewe si peng
Buda usini call number ni wrong
Nadai kadame kamebeba ki Corazon
Mbona ustress buda mi hubonga na Don
Geri hatari si hugeuza kaform
Buda usitense si lazima ufiche phone
Geri ni safi, thought ulijua kaform