
Nitavumilia Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Nitavumilia - Madini Classic
...
Nikama nakosa pumzi maneno yanakwisha ee! dunia Yana mengi binadamu hawana wema eeh! Nikama nakosa pumzi maneno yanakwisha ee! dunia Yana mengi binadamu hawana wema eeh!
chonde chonde roho yangu usifanye hasira initawale nionekane mbaya mimi eeh ,aah ona wanasema nanii kamtongoza nanii hata baada ya kuniibia hawaoni binadamu wabaya! ona kabaki nalia na moyo wangu (Sana) wananitukana mpaka wenzangu (sana) nani aponye kidonda changu ,mama madini roho yangu..
Nitavumilia tuu ( kwa sana) mimi nitavumilia (kwa Sana)
Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)
Mama madini anauliza mwanangu wapi mjukuu ila mitandaoni wanasema nimemtaliki mwanangu,, ooh ona maadui hawajalala wananipigia mpaka usiku eti handsome umekula ndio kesho wasemeseme, na mungu sio asumani Kuna wanao nipenda naomba msiniache,
chonde chonde roho yangu usifanye hasira initawale nionekane mbaya Mimi eeeh
ona wanasema nani kamtongoza nanii hata baada ya kuniibia
hawaoni binadamu wabaya ona nabaki nalia na moyo wangu (sana) wananitukana mpaka wenzangu (sana) Nani aponye kidonda changu, mama madini roho yangu.
Nitavumilia tuu ( kwa sana) mimi nitavumilia (kwa Sana)
Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)