
SITAKATA TAMAA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Si unajuaaa Starhil aahaa GAA
Maisha yananisukumuma Uchumi haucheki nami
Kila chajio ni Sukuma nyama Naila kwa ugeni
Maisha yananisukumuma Uchumi haucheki nami
Kila chajio ni Sukuma nyama Naila kwa ugeni
Mfukoni simu inaita nyumbani Kwenye chama mama adaiwa
Niliko kodi silajipa nikimwona Mwenye nyumba haraka Najificha
Mabeshte feki bado wanapretendy
Nalala njaa Mfukoni sina senti
Karo ni Shida na kwote madeni
Wowowowowooo
see lyrics >>
Similar Songs
More from Starhil Patrick
Listen to Starhil Patrick SITAKATA TAMAA MP3 song. SITAKATA TAMAA song from album SITAKATA TAMAA is released in 2023. The duration of song is 00:04:34. The song is sung by Starhil Patrick.
Related Tags: SITAKATA TAMAA, SITAKATA TAMAA song, SITAKATA TAMAA MP3 song, SITAKATA TAMAA MP3, download SITAKATA TAMAA song, SITAKATA TAMAA song, SITAKATA TAMAA SITAKATA TAMAA song, SITAKATA TAMAA song by Starhil Patrick, SITAKATA TAMAA song download, download SITAKATA TAMAA MP3 song