
Size Yako
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Size Yako - Brayban
...
baada ya urafiki tukarukia mapenzi na kumbe miluzi bado mingi hapo ndipo wengi tunapunzwa na rangi hatupati wa kufanana naye na kumbe mapenzi n mchuo kikuu kuu na mm nilkuona ww tututu najitutumua tutu unanigonga kisogo ukiwa na watu
nakuuliza unapiga kifua unasema wanakusingizia unajiiliza u bado hujakua na ila bado nakuombeaga dua unalipuka kama moto wa kibua ukishalewa unanibaninga pua unanianika utasema umenifua au ona vile unajikuta wa kishua
unawaambia mm sio size yako Mara ooh mm sio type yako*2
najua sio dhambi kulalamika na ndio maana mabaya sikuandika nataka uhakika was mapenzi yangu mwenzako nimemeza sikutapika ushanishushua shushu utanivovozea vuvu maneno mvurugu vuvu yananifikia fika aah
Similar Songs
More from Brayban
Listen to Brayban Size Yako MP3 song. Size Yako song from album Size Yako is released in 2023. The duration of song is 00:02:46. The song is sung by Brayban.
Related Tags: Size Yako, Size Yako song, Size Yako MP3 song, Size Yako MP3, download Size Yako song, Size Yako song, Size Yako Size Yako song, Size Yako song by Brayban, Size Yako song download, download Size Yako MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
sandra wa kim
paulo6hx70
sanaaaaaaaaa
naskia kulia adi[0x1f625]