- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Hudumia - Christopher Mwahangila
...
..........
Weeee Mungu mwenye nguvu nyingi babaa*2
Ninapoimba huu wimbo naomba nisikie*2
Mbele yangu kuna watu wana mahitaji mengi.wanaomba mguso wako Mungu.
Mbele yangu kuna watu wana mahitaji mengi wanaomba mguso wako bwana.
Ninapoiiimba Yesuu.
(Hudumia kusanyiko bwana,hudumia Mungu wangu we,hudumia watu wako hawaa,hudumia baba yangu we,hudumia kusanyiko bwana,hudumia Jehovah shammah wangu we,hudumia watu wako hawa,wengine ni wagonjwa baba,hudumia kusanyiki bwana,,,,,wanakuitaji,baba,hudumia wewe,hudumia watu wako hawa,baba,ewe Mungu wangu)
...
Wengine wametoka majumbani mwao
wamekuja mahali hapa
see lyrics >>Similar Songs
More from Christopher Mwahangila
Listen to Christopher Mwahangila Hudumia MP3 song. Hudumia song from album Mungu Ni Mungu is released in 2014. The duration of song is 00:05:05. The song is sung by Christopher Mwahangila.
Related Tags: Hudumia, Hudumia song, Hudumia MP3 song, Hudumia MP3, download Hudumia song, Hudumia song, Mungu Ni Mungu Hudumia song, Hudumia song by Christopher Mwahangila, Hudumia song download, download Hudumia MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Jimmy Mbathac878p
Arafatd7xpj
thaks god
Vindori
hudumia, mungu wetu mwenye nguvu nyungi na mwenye uwezo wa kutenda
Njapit Alex
classic
thanks