Viwango Vya Juu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Viwango Vya Juu - Christopher Mwahangila
...
ni kama nipo polepole ila niko speed, aliye ndani yangu yupo speed,ni kama ninyamaza ila naongea, Yesu yu ndani yangu yeye anongea.
ni kama nipo polepole na niko speed aliye ndani yangu yupo speed , kwa nje naonekana dhaifu ndani nina nguvu, Yesu yu ndani yangu yeye ni nguvu.
sibabaiki, sihangaiki, sitetereki, nauhakikana
sibabaiki sitetereki,sihangaiki nauhakikana
Yesu yu ndani yangu na mi ni ndani yake
Yesu yu ndani yangu na mi ni ndani yake
Yeye ni wa juu yuko ndani yangu, mimi ni wa juuu juu sana. mimi eeeeehhhh.
wa viwango vya juu,vya juu,wa viwango vya juu saanaa×4
Similar Songs
More from Christopher Mwahangila
Listen to Christopher Mwahangila Viwango Vya Juu MP3 song. Viwango Vya Juu song from album Viwango Vya Juu is released in 2022. The duration of song is 00:05:52. The song is sung by Christopher Mwahangila.
Related Tags: Viwango Vya Juu, Viwango Vya Juu song, Viwango Vya Juu MP3 song, Viwango Vya Juu MP3, download Viwango Vya Juu song, Viwango Vya Juu song, Viwango Vya Juu Viwango Vya Juu song, Viwango Vya Juu song by Christopher Mwahangila, Viwango Vya Juu song download, download Viwango Vya Juu MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
godloveti8nd
loyce Edward4cfn7
Nzuri sana
Benard Otwal
Nyimbo zako huwa zina ni bariki sana
Rama dzoo
ᗩᗰIᑎᗩ
Godwin2lebp
Hallelujah
Harmoni Tz
hakika tunayo nguvu ndani yetu kwani Yesu yupo ndani yetuuu. Mungu akubariki kwa utumishi wa mapenzi yake pamoja na Yesu Kristo Ameen Ameen Ameen
Perice Daudi
amina
Peter Paul Tz5djih
Greater is he that is in you than he that's in the world
Lameckdzq8m
shalom shalom
109017836
amina mtumishi wa mungu[0x1f60e]
aisha samil
Ameen sana mtumishi
glory mwakibingai4p60
barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu
amina