NAHITAJI NEEMA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NAHITAJI NEEMA - Paul Clement
...
Wengi wananijua kama shujaa na wanatamani kuwa kama mimi ila hawajui nina mwiba na NEEMA ya MUNGU ndio inanitosha Mimi si shujaa mbele za MUNGU Sababu ni mwanadamu na ni MDHAIFU
naishi Kwa neema yake tu kaniumba Kwa mfano wake tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA yako tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA YAKO tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
Maana jinsi nilivyo si kitu
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement NAHITAJI NEEMA MP3 song. NAHITAJI NEEMA song from album SERMON is released in 2022. The duration of song is 00:13:25. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: NAHITAJI NEEMA, NAHITAJI NEEMA song, NAHITAJI NEEMA MP3 song, NAHITAJI NEEMA MP3, download NAHITAJI NEEMA song, NAHITAJI NEEMA song, SERMON NAHITAJI NEEMA song, NAHITAJI NEEMA song by Paul Clement, NAHITAJI NEEMA song download, download NAHITAJI NEEMA MP3 song
Comments (16)
New Comments(16)
PALLANGYOeewt9
Francis Efrahimu
Ubarikiwe Sana
Bonheurofficiel
penda sana Ministère Paul
Bonheurofficiel
napenda sana my brother Ministère Paul clement
Timothy Tarimo
Barikiwa Sana Minister
Dismas Mwingereza
napenda kazi zako, nabarikiwa.
JohnMmasa_official
[0x1f653][0x1f653]Nahitaji neema[0x1f653][0x1f653][0x1f614]
Nicclddt
GRACE
Bling King Sa
powerful song [0x1f653]
Joram Ambwene
it's time
Bro Music tz
Imenibariki
Jacob Shereta Kiseu
Kweli ni sermon. Hii album inauzito
This is a very powerful song blessings brother Mungu aendelee kukuinua