Jirani
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Isiwetabu mi na we kujuana
Kama pembeni waga wanisema sana
Hata Kipofu wivu kauona
Ama dhamira yako wataka unile nyama
Chuki binafsi sio mtaji
Mi na we wote wapangaji
Asa yanini unichukie? eeeeeh
Kibaya hujawai nichangia kodi
Kunipangia maisha hainogi
Ukose chumvi kwangu waja piga hodi yeaahh
Si utani tani mpaka ndani ndani watamani mani kuniroga
Kuona wivu kwenye mafanikio hiyo ni nidhamu ya uwoga
see lyrics >>Similar Songs
More from Appy TZ
Listen to Appy TZ Jirani MP3 song. Jirani song from album Jirani is released in 2022. The duration of song is 00:03:30. The song is sung by Appy TZ.
Related Tags: Jirani, Jirani song, Jirani MP3 song, Jirani MP3, download Jirani song, Jirani song, Jirani Jirani song, Jirani song by Appy TZ, Jirani song download, download Jirani MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Eric matemu
Nabii Amos
pp
nyandwi léonce
napenda uimbavyo. love from
Thomas Jamesiv895
sooo talented this is kind of pure talents we need in our music industry...
Leah Mwakabungu
jamani wimbo mtam sana majirani tumesikia lyrics jamani
BIRIANI NATION
songi songi
Renato Riziki
got it right?
Sina time ya kula na kujuana, Kama pembeni huwaga wanisema Sana Hata kipofu wivu kauona, ama dhamira yako'wataka unile nyama (Ee eh) Chuki binafsi sio mtaji, mi nawe wote wapangaji Asa ya nini unichukie, eeeeh Kibaya hujawahi nichangia kodi Kunipangia maisha hainogi Ukose chumvi kwangu waja 'piga hodi, iyeeh Si utani-tani, mpaka ndani-ndani watamani-mani kuniroga Kuwa na wivu kwenye mafanikio hiyo mi nidhamu ya uwoga Choo chenyewe kimoja, kila kukicha vioja Sina gari wala baiskeli usafiri wngu boda boda Nimeleta sofa, nani amenuna Nimeleta runinga, nani amenuna Nimeweka kapeti, Nani amenuna Godoro naweka chini, nani amenuna (jiani) Utafika mbinguni umechoka (jiraani) Utafika mbinguni umechoka sana (jirani) Utafika mbinguni umechoka(yaani) Utafika mbinguni umechoka sana Umemwambia mangi asinikopee et slipagi Na, nikienda baa nalewa kwa ofa za vinywaji Ama tati-izo tunashea luku Ama tati-izo nmeka umeme wa buku, Jirani huna kubwa huna dogo Kukicha unapenda mizozo Sura haijui chogo, mapungufu vitu vidogo Jirani, jirani sio mstarabu, Ukifua, unatuwekea tarabu, ey eh Si utani-tani, mpaka ndani-ndani watamani-mani kuniroga Kuwa na wivu kwenye mafanikio hiyo mi nidhamu ya uwoga Choo chenyewe kimoja, kila kukicha vioja Sina gari wala baiskeli usafiri wngu boda boda Nimeleta sofa, nani amenuna Nimeleta runinga, nani amenuna Nimeweka kapeti, nani amenuna Godoro naweka chini, nani amenuna (jirani) Utafika mbinguni umechoka (jiraaani) Utafika mbinguni umechoka sana (jirani) Utafika mbinguni umechoka (jiraani) Utafika mbinguni umechoka sana (jirani) Utafika mbinguni umechoka (jiraaani) Utafika mbinguni umechoka sana (jirani) Utafika mbinguni umechoka (jiraani) Utafika mbinguni umechoka sana (jirani)

Edward Kirua
mzik mzur sana una mafundisho
Godfrey Kabambara
Bonge la ngoma
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]