![Jirani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/23/e31a51f099c64ac3b29232174cd78c97_464_464.jpg)
Jirani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Isiwetabu mi na we kujuana
Kama pembeni waga wanisema sana
Hata Kipofu wivu kauona
Ama dhamira yako wataka unile nyama
Chuki binafsi sio mtaji
Mi na we wote wapangaji
Asa yanini unichukie? eeeeeh
Kibaya hujawai nichangia kodi
Kunipangia maisha hainogi
Ukose chumvi kwangu waja piga hodi yeaahh
Si utani tani mpaka ndani ndani watamani mani kuniroga
Kuona wivu kwenye mafanikio hiyo ni nidhamu ya uwoga
Choo chenyewe kimoja
Kila kukicha vioja
sina gari wala baiskeli
Usafiri wangu bodaboda
Nimeleta sofa nani amenuna
Nimeleta runinga nani amenuna
Nimeweka kapeti nani amenuna
Godoro naweka chini nani amenuna
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Umemwambia mangi asinokope eti silipagi
Na nikienda bar nalewa kwa offer za vinywaji
Amatatizo tunashare luku
Amatatizo umeweka umeme wa buku
Jirani huna kubwa huna dogo
Kukicha unapenda mizozo
Sura haijui chogo
Mapungufu vitu vidogo
Jirani Jirani sio mstarabu
Ukifua unatuwekea taraabu
Yeah Yeah
Si utani tani mpaka ndani ndani watamani mani kuniroga
Kuona wivu kwenye mafanikio hiyo ni nidhamu ya uwoga
Choo chenyewe kimoja
Kila kukicha vioja
sina gari wala baiskeli
Usafiri wangu bodaboda
Nimeleta sofa nani amenuna
Nimeleta runinga nani amenuna
Nimeweka kapeti nani amenuna
Godoro naweka chini nani amenuna
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Jirani utafika mbinguni umechoka
Jirani utafika mbinguni umechoka sana
Jirani