Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Eh
Tushaokota sana Vyuma chakavu hadi makopo
Magari ya makoa Saivi tupo na mikoko
Saivi big name big fame Yani kila chocho
Hadi kondeboy hangoji hela ya korosho
Sisi ndio wale mtaani waliamini hatuwi mabingwa
Walituzimia data kisa simu za vizinga
Nyumba za tofali hazina rangi wala skimming
Toka kuoga bwawani mpaka leo kwenye Swimming
see lyrics >>Similar Songs
More from Appy TZ
Listen to Appy TZ Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi MP3 song. Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song from album Mshindi (Remix) is released in 2023. The duration of song is 00:03:21. The song is sung by Appy TZ.
Related Tags: Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi MP3 song, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi MP3, download Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song, Mshindi (Remix) Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song by Appy TZ, Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi song download, download Mshindi (Remix) ft. Stamina Shorwebwenzi MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
vinuku
MO TRAMP O1 njombe
barikiwa sana appy ,
Colya11
Hii ngoma dah! [0x1f611]
Sinned Anirak
stamina
ma favorite