
Sikia Wimbo
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sikia Wimbo - Msanii Music Group
...
Sikia wimbo, ninaokuimbia
Sikia maneno, nakupa sifa
Chukua wakati huu, siwezi upoteza
Muda huu ni wako, nakupa Leo.
Nikiwa na njaa, u mkate wa uzima
Nikiwa na kiu, maji ya uzima
Sitaogopa, nikiwa na wewe
Na kila hitaji, walitimiza.
Wana wako ehh Bwana twakuinua kwa sifa
Kwa kuimba kwetu twainua kiti cha enzi
see lyrics >>Similar Songs
More from Msanii Music Group
Listen to Msanii Music Group Sikia Wimbo MP3 song. Sikia Wimbo song from album Vumilia is released in 2020. The duration of song is 00:04:33. The song is sung by Msanii Music Group.
Related Tags: Sikia Wimbo, Sikia Wimbo song, Sikia Wimbo MP3 song, Sikia Wimbo MP3, download Sikia Wimbo song, Sikia Wimbo song, Vumilia Sikia Wimbo song, Sikia Wimbo song by Msanii Music Group, Sikia Wimbo song download, download Sikia Wimbo MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Official sham
138449839
dycic
veeeeery powerful song