MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles
- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles - Minster Danbles
...
majina yote mazuri ni yako mazuri n yako we Jehovah muumbaji wangu
nkipe jina Kwan kila lakiheri ni upekee wako
umeniokoa nakwita Jehovah mwokozi wangu
umeniponya nakwita jehova bwana mungu mponyaji wangu
umenipigania nakwita Jehovah nissi bendera y ushindi wangu
usifiwe ewe bwana muumba wangu n Nuru yangu wema wako wanijaza roho
ww ndiwe mchungaji wangu tena kiongozi w maisha yangu wanitazama kama mboni y jicho lako
umenifanya kuwa kielelezo Cha walio barikiwa
Zaidi y yote umenifanya kuwa barakani m nami umenbariki
nmekupata n nkaridhika we n yote ndani y vyote
Similar Songs
Listen to Minster Danbles MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles MP3 song. MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song from album MAJINA YOTE MAZURI COVER is released in 2023. The duration of song is 00:10:34. The song is sung by Minster Danbles.
Related Tags: MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles MP3 song, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles MP3, download MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song, MAJINA YOTE MAZURI COVER MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song by Minster Danbles, MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles song download, download MAJINA YOTE MAZURI COVER ft. Danbles MP3 song
Comments (18)
New Comments(18)
Venerander Mpega
faith indra
feeling so blessed
Neema Misanabrn63
blessing song
Caspary Luoga
Tanzania
Goodluck Kirabe
mungu akuongezee ulipo pungua♥️
Elvis syakilo
I really get freed when I here this song
wow amazing
Claudy Tadeo
yes
Everlyne Ochiengguoyz
[0x1f60e][0x1f630]
Lennice Belle
love this song ❣️
IWIDOT
God bless u in u music so wonderful
169061546
good
When i hear this song I feel better