Mulika Mwizi (Swahili)
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Mulika Mwizi (Swahili) - Kidum
...
Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia, jua yakwamba ameguswa pahali,
Sio rahisi, si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi,
hapo zamani nilidhani mwanaume akipoteza kazi ndio uchungu, ndio unyonge,
kumbe mapenzi ndio sumu kali, inayofanya mwanaume kulia, kama mtoto mtoto, kama kidogoyo,
hapembelezwi, hanyamazishwi, machozi yake inatoka ikienda tumboni
hapembelezwi, hanyamazishwi, machozi yake inatoka ikienda tumboni
Chorus
Mulika mwizi, mulika na tochi, mulika
Mulika mwizi, kama kuna giza mulika,
see lyrics >>Similar Songs
More from Kidum Kibido
Listen to Kidum Kibido Mulika Mwizi (Swahili) MP3 song. Mulika Mwizi (Swahili) song from album Hali Na Mali is released in 2014. The duration of song is 00:04:45. The song is sung by Kidum Kibido.
Related Tags: Mulika Mwizi (Swahili), Mulika Mwizi (Swahili) song, Mulika Mwizi (Swahili) MP3 song, Mulika Mwizi (Swahili) MP3, download Mulika Mwizi (Swahili) song, Mulika Mwizi (Swahili) song, Hali Na Mali Mulika Mwizi (Swahili) song, Mulika Mwizi (Swahili) song by Kidum Kibido, Mulika Mwizi (Swahili) song download, download Mulika Mwizi (Swahili) MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Manirambona.254
emuli254
Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia, jua yakwamba ameguswa pahali, Sio rahisi, si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi, hapo zamani nilidhani mwanaume akipoteza kazi ndio uchungu, ndio unyonge,
Anne Delphin
Nimeipeñda
nice song