Nipe Nguvu
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Nipe Nguvu - Kidum
...
Baba baba baba Mungu baba eeeh eeh Siku nyingi nimekaa najiuliza Upendo wako Baba Kwa walimwengu Wewe ni mwema Baba wa uruma Muumba wa mbingu na duniya Mwanzo na mwisho Sisi watoto tutakusifu na tutakwabudu Ndiyo sababu twasema asante Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Niwe wako (yeah eeh) Ili niwe wako Tazama kila pande ya duniya Kuna viumbe za kila aina Na kuna sisi kwa mufano wake Mungu Baba ni mwenye kutujaali Mwenye kutujaali Mungu Baba ni mwenye kutupenda Mwenye kutupenda Umelipa ngapi kwa uhayi wako Umepana nini kwa kubarikiwa Mungu ni mwema Mwenye rehema Mwenye rehema zote Nishike Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Ili niwe wako Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Eeeh eeh Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Eeh eeh Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Tupe amani baba Ndiyo sababu Twacheza kita Hivi iiiii eeeeh Twacheza kita aaaa Kwa sifa zako Baba Kwa utukufu wako Tukikutuza Eeeh eeeh Nishike mkono nisianguke Nisiteleze Nahitaji msaada kutoka kwako Nishike nishike eeh eeh Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Nishike mkono nisiteleze Niwe wako Niwe wako Baba Ili niwe wako Ili niwe wako
Similar Songs
More from Kidum Kibido
Listen to Kidum Kibido Nipe Nguvu MP3 song. Nipe Nguvu song from album Nipe Nguvu is released in 2018. The duration of song is 00:04:09. The song is sung by Kidum Kibido.
Related Tags: Nipe Nguvu, Nipe Nguvu song, Nipe Nguvu MP3 song, Nipe Nguvu MP3, download Nipe Nguvu song, Nipe Nguvu song, Nipe Nguvu Nipe Nguvu song, Nipe Nguvu song by Kidum Kibido, Nipe Nguvu song download, download Nipe Nguvu MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
charlesae66r
Mungu nipe nguvu
johnnie.hitta
Good music
Armand Nzizabtjk4
Kidum turahezagiwe naho kari MuGiswahili....
marleyrock
kiddum is a star♨
New Vincent
Mungu nipe nguvu
franksmedia
Kidum never disappoint.....i would love to be your music student everything he touch blossom (musically speaking)
Njagi Dave
amaizing jam
kim arts
awsm
Njagi Fridah
Great
f