
Kamata Toto
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kamata Toto - WEUSI
...
(Beat hit up............ (name) you killin' them). Kamata toto pale pale,anapo penda polepole. Kamata toto pale pale,ikizama imezama baba. Yah,nikishalima nakula tunda shamani Nikishavuna nalipeleka nyumbani Likikolea naowa,naweka ndani Sinoi panga kuchunga kuku bandani Lemufasa li'king la jungle Walimanya sicheki na panya Tukicheka nao watakuja kutuchanganya Ifunanya baby mama la mama Eeeya hakuna madrama Chorus Kamata toto pale pale,anapopenda pole pole Kamata toto pale pale, ikizama imezama baba Kama kama kama kama kama kama kama kama kama. Kamata toto pale pale, anapopenda pole pole Kamata toto pale pale, ikizama imezama baba Eeh,niko chini yake kama chaga na kitanda Si tumeshikana kama Mbezi na Kibamba Sio kushikashika,sisi watu wa kubamba Road sarakasi,sitishiki na misamba Napita pekeyangu njia nyembamba Mjini Mangi bado nakichanga Simsimangi wala kumnanga Yeye kwangu bado ni kichanga. Chorus Kamata toto pale pale, anapopenda pole pole Kamata toto pale pale, ikizama imezama baba Hii nyama yangu nimeipata, kateni tela ............................ Eh,napiga rungu kipepe pepe Nakiga nyungu ni chepe chepe Nakata waya vicheche cheche Nakata mbaya mambo yekete Eh,mama twende shopping ama designer Na si makopa kopa,maneno China Vile tumetoka,unawasigina We pap baroz,mama mimina Wakileta baro,nakuwa mimi na richard No childish,big dady Jitu la kazi,bob dady Bad guy,me nakula vyote na sina pupa Chorus So nakamata toto pale pale, anapopenda pole pole Kamata toto pale pale, ikizama imezama baba (Eyy) kama kama kama kama kama kama kama kama kama (Eyy) kamata toto pale pale, anapopenda pole pole Kamata toto pale pale, ikizama imezama baba Hii nyama yangu................(beat hit up) ........................... Nimezipata kateni tela (Beats hit up..............) (name) you killin' them
Similar Songs
More from WEUSI
Listen to WEUSI Kamata Toto MP3 song. Kamata Toto song from album AIR WEUSI is released in 2021. The duration of song is 00:03:12. The song is sung by WEUSI.
Related Tags: Kamata Toto, Kamata Toto song, Kamata Toto MP3 song, Kamata Toto MP3, download Kamata Toto song, Kamata Toto song, AIR WEUSI Kamata Toto song, Kamata Toto song by WEUSI, Kamata Toto song download, download Kamata Toto MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
shabansospeter
lucas fredcv25w
[0x1f63f]
HakeemTz
Amaizing album
Faustine Andrew @F60-Official
one of de hot song from weusiiii
Tanzania motoo this is weus