Acheni Kuniandama
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Acheni Kuniandama - Isha Mashauzi
...
ooooh mmmmh aaaaahh oooh najaribu kuwavumilia nashindwa naumia..mimi nimewakosea mpaka mninichukiaa×2 hamuishi nio ngelea mabaya kunizulia bora mungeniambia kuliko kunichukia×2..niacheni msiniandame enyi waja msinijadiliii msinitafute nisemee mkaja niona jeurii niacheni msiandameeeh..enyi waja msinijadiliih msinitafute nisemeeh mkaja niona jeuri..huku kukaa kwangu kimya kunaniponza mnanipandaa maneno sijayazowea heshima yangu nnailindaa siku nyingi nnawaskia etii mie nnaringaa mpaka jana mmeongea watu wamewaskia×2..hukukaa kwangu kimya kunanipoonza mnaniipaanda maneno sijayazowea heshima yangu nnailinda siku nyingi nnawaskia etii aisha nnaringa (chorus)......msinitafute nnsemee mkaja niona jeuri niacheni msiniandame enyi waja msitujadilii msinitafute nisemeee.mkaja niona liki jeurii×2.....hukukaa kwangu kimya kunaniponza mnanipandaa maneno sijazowea heshima yangu nnailindaa siku nyingi nnawaskia ooh mie nariingaah mpaka jana mmeongea watu wamewasikiaa×2..mashetani mnayatibua mjue nakuyatuliza jini langu nimakata likipanda hamtolishika×2 undani wangu mnautaka nawambia mtaupataaa×3 kuongea sijataka kuvumila nimechokaaahx2 mtasema mtachoka namatope mlonipakaah nifanye lipi kwenu liwe jemaa naniishii vipi mukache kunisemaa mnakerekwa na inawaumaa inspo kuwajibu mnayo yasemaa×2 nnaziogopa lawamaa nanikianza na mimi kusemaa tutashindwa kusalimiana njiani tukikutanaa ×2..kauli zenu sinjema tena zinaniuma sanaa..nyie maneno yenu nayananiuma sanaa×2 kauli zenu sinjema tena zinauma sanaa×2..(chorus)..dunia niyamungu sie sote tunapitaa..tuyaacheni majungu ufisadi na mbaya ghulka.....hamzimi nyota yanguu
Similar Songs
More from Isha Mashauzi
Listen to Isha Mashauzi Acheni Kuniandama MP3 song. Acheni Kuniandama song from album Acheni Kuniandama is released in 2013. The duration of song is 00:15:44. The song is sung by Isha Mashauzi.
Related Tags: Acheni Kuniandama, Acheni Kuniandama song, Acheni Kuniandama MP3 song, Acheni Kuniandama MP3, download Acheni Kuniandama song, Acheni Kuniandama song, Acheni Kuniandama Acheni Kuniandama song, Acheni Kuniandama song by Isha Mashauzi, Acheni Kuniandama song download, download Acheni Kuniandama MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Tabuau0ya
Aysha Aysha09zkl
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Aysha Aysha09zkl
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Saadah Siraji Nchochi
mashaallah haichuji wallah
Asha omarydcxia
[0x1f63f][0x1f63f]
swetu swalehe
halibadiki hata kidogo
Huba Sheikha
song halizeeki hata iweje
shaqiricp9ij
nice song
nice one