Sio Levo Yako
- Genre:Taarab
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Levo Yako - Isha Mashauzi
...
Bure mwapapatika mahasidi mnawazushi nyie
Izo zenu hekeheka mimi hazinikondeshi mie
Majungu mnayopika yanapita kama moshi nyie
Mimi nimekamilika kwangu mie hamnitoshi nyie
Naringia fungu langu alilonipa manani mie
Kama mwaona uchungu pandeni ngazi mkazibe nyie
Wanikera bure wanikera bure
Na mie sio levo yako nasema (oya eeeeh)
Mi wanikera bure wanikera bure
Na mie sio levo yako nasema (oya eeeh)
see lyrics >>Similar Songs
More from Isha Mashauzi
Listen to Isha Mashauzi Sio Levo Yako MP3 song. Sio Levo Yako song from album Sio Levo Yako is released in 2022. The duration of song is 00:04:46. The song is sung by Isha Mashauzi.
Related Tags: Sio Levo Yako, Sio Levo Yako song, Sio Levo Yako MP3 song, Sio Levo Yako MP3, download Sio Levo Yako song, Sio Levo Yako song, Sio Levo Yako Sio Levo Yako song, Sio Levo Yako song by Isha Mashauzi, Sio Levo Yako song download, download Sio Levo Yako MP3 song
Comments (50)
Top Comments (1)
Togolamama9
New Comments(50)
Stumai Chacha
kama unapenda isha nipeni like zenu[0x1f641][0x1f641]
Fatuma Mbalapi
umetisha hakuna wa kukufikia shoga Nice
nasra nashrahkjlb
♥️♥️♥️
nayshat sayd
km kuna nyimbo hii best km umeikibali weka like yako ucpite iv iv❤
Hellenmzba0
more than amazing
mullerdinah
❤️❤️❤️❤️
mushmah
mm si levo yko
samianh2xl
Isha kauwa
mrs nidoh
mashauzi umeuwa mwaka huuuu
Naomi kui
[0x1f623]
mrs nidoh
silevo yao .mm
aysherzfzmm
kama mwaona uchung panden mkazibe [0x1f647][0x1f647]
Kama unamkubali isha gonga like twende sawa ❤️❤️❤️❤️>