- Genre:Soul
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Komesha Uoga - Healing Worship Team
...
Komesha uwoga, uwoga wa maisha
Na utukumbushe, kuwa wewe ni baba yetu,
Fedha na dhahabu yote ni mali yako,
Uwoga ni wa nini, tena wewe ni baba yetu
Komesha uwoga, uwoga wa maisha
Na utukumbushe kuwa wewe ni Baba yetu,
Fedha na dhahabu yote ni mali yako,
Uwoga ni wa nini, tena wewe ni Baba yetu,
Wakuu wa giza wametawala dunia hii, (wakifundisha kutoamini neno)
(Kuwa sisi tu waridhi, wa mali ya Baba yetu)
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Healing Worship Team Komesha Uoga MP3 song. Komesha Uoga song from album Healing Worship Team Collection is released in 2017. The duration of song is 00:03:17. The song is sung by Healing Worship Team.
Related Tags: Komesha Uoga, Komesha Uoga song, Komesha Uoga MP3 song, Komesha Uoga MP3, download Komesha Uoga song, Komesha Uoga song, Healing Worship Team Collection Komesha Uoga song, Komesha Uoga song by Healing Worship Team, Komesha Uoga song download, download Komesha Uoga MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Faith Nyigei
Alugangxter boe
hii nyimboo inanifanya nijione shujaa sanaa nikiwa na bwana yesu
Daniel Mwasakyenid1unx
albam bora kabisa
elyon Michael
the song iko fyn,,,lit [0x1f618][0x1f630]
Sammy 4 God
wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
Henry Smithc9m6m
great song
mungu awabariki nyimbo inanipa nguvu na tumaini kwa mungu nawapenda sana