- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Uzima ninao - Papi Clever & Dorcas
...
Uzima ninao,moyoni ndaima uzima ni yesu mwokozi
Aliyeingia moyo hakika,atanitilia yundani,(na simba la hodi na raha ya mungu,na Moto wa mbinguni humo,nataka kukaa nuruni kabisa na nuru ni yesu mwokozi)X2
Baraka zilizo katika wokovu, nilizozipata Kwa bure,nilipo ungana makosa na Dhabi,Kwa yesu mwokozi mbavuni,(na simba la hodi,na raha ya mungu,na Moto wa mbinguni humo,nataka kukaa kwa nuru kabisa na nuru ni yesu mwokozi)X2
mwokozi aliniondoa porini,natunzwa shambani Kwa mungu,na sasa mvua na jua la mbingu,ninamzalia matunda,(na simba la hodi,na raha ya mungu ,na Moto wa mbinguni humo,nataka kukaa nuruni kabisa na nuru ni yesu mwokozi)X2
Naona maisha,ni yenye maana,kumtumikia mwokozi,kuishi ni Kristo,nakunafaida Kwa kila mkristo wa kweli x3(na simba la hodi,na raha mungu,na Moto wa mbinguni humo,nataka kukaa nuruni Kabisa,na nuru ni yesu mwokozi)x3
Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas Uzima ninao MP3 song. Uzima ninao song from album Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 is released in 2023. The duration of song is 00:05:44. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: Uzima ninao, Uzima ninao song, Uzima ninao MP3 song, Uzima ninao MP3, download Uzima ninao song, Uzima ninao song, Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 Uzima ninao song, Uzima ninao song by Papi Clever & Dorcas, Uzima ninao song download, download Uzima ninao MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Benson amba2
156242592
ngoma tamuu sana unijaza roho yangu sana
Nebo Mbago
spirit lifted high
Winnie Mongina
love the song
Zambia