- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
1. Pendo la Mungu ni kubwa, pasha habari hii. Pendo la Mungu ni kubwa, anatoa nyimbo zote.
Malaika waliimba, wachunga wakasikia. tunafurahi kuchunga pendo la Mungu ni kubwa
Pendo kuu x 3
Pendo la Mungu ni Kubwa x2
2. Pendo la Mungu ni kubwa, kwako uliye mbali.
Pendo la Mungu ni kubwa, anakuhudumia.
Ukiendee kisima , kinachotoka ulofaa, utaupata uzima katika pendo la Mungu
Pendo kuu x 3
Pendo la Mungu ni Kubwa x2
see lyrics >>
Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas Pendo la mungu MP3 song. Pendo la mungu song from album Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 is released in 2023. The duration of song is 00:05:04. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: Pendo la mungu, Pendo la mungu song, Pendo la mungu MP3 song, Pendo la mungu MP3, download Pendo la mungu song, Pendo la mungu song, Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 Pendo la mungu song, Pendo la mungu song by Papi Clever & Dorcas, Pendo la mungu song download, download Pendo la mungu MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
167584658
gipson1uo8r
i love the song
I like it!