- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Nitakase - Ali Mukhwana
...
mfalume wa Amani nakuja kwakoJehovah nisi mungu mwenye nguvu naomba nitawaliwe na wewe tawala maisha yangu tawala mawazo yangu jehoovah iliniwe nawe .... asante yesu
bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba bwana nitawaliwe nawee....
hii safari ni ndefu bwana yahitaji neema yako bwana naomba ooh Bwana nitawaliwe nawee siezi bila wewe yee yee siwezi bila wewe niongoze nakuhitaji mwokozi wangu nitawaliwe na wewe nitawaliwe nitawaliwe nawee
bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba bwana nitawaliwe nawee
(Ombi langu Baba)
naomba roho wako mtakatifu aniongoze safarini naomba eeh bwana nitawaliwe nawee haya Mambo ya duniani ii yamekua mengi kuliko akili yangu Baba naomba yesu uuu nitawaliwe nawee...(siwezi bila wewe) bwana naomba bwana unitakase mungu mwenye nguvu Bwana naomba nitawaliwe nawee...
see lyrics >>Similar Songs
More from Ali Mukhwana
Listen to Ali Mukhwana Nitakase MP3 song. Nitakase song from album Mungu Wa Neema is released in 2018. The duration of song is 00:04:57. The song is sung by Ali Mukhwana.
Related Tags: Nitakase, Nitakase song, Nitakase MP3 song, Nitakase MP3, download Nitakase song, Nitakase song, Mungu Wa Neema Nitakase song, Nitakase song by Ali Mukhwana, Nitakase song download, download Nitakase MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
princessnadia
khagasa
am blessed with this song
Stephen twanga
very blessings song
Wilckyns odiwuor gogah
Am blessed with everyone listening
YVONNE MUNYAO
blessing songs....hallelujah
ombi langu nitawaluwe na wewe baba