
Alisema ft. Jux
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2012
Lyrics
Alisema ft. Jux - Stamina (TZ)
...
Stamina...
Naam..
Njoo...
Unaskia mwanangu stamina uzingatie elimu...
It’s Moro town babe..
You know what kelvin this is so conscious man.
(aah)Sio kila mchaga muuza duka so nisogope kuitwa mangi kupanda nakushka ndo chat isiyo hitaji rangi bora kuitwa mshamba kwny group la matapeli subir ikikosa kamba jipange kuivuta heri alisema usilete uchiz mbele ya daktari wakili nisiwe na hasira za mkizi ili mvuvi anifanye dili kukosa na kupata ndo mechi isiyokua na droo kama maisha ni karata mchangaji ni mkabe koo (ooh) madawa ya kulevya niogope yatanipa uchizi maishani nisiwe dereva kwnye basi la wazinzi kengeza ndo macho yangu nisimcheke mwenye chongo nipendezeshe maisha yangu ka dressing table ya mkongo usile ada kisa demu mapenzi hayana mradi maisha ni ps game hayachezeki bila pad elimu ya mtaani niiujue nikuze ukoo ila elimu ya darasani nisihitimu bila ya joho alisema.
Nifanye nachofanya wala mimi nsizubae uwezo nnao (alisema)maneno yakisemwa wala mimi nsishangae niachane nayo (alisema) ubinadamu kazi (alisema) nsiwe naharaka na maisha (alisema) nisichague kazii (alisema) nakumbuka iiiyee.
Usione siupi tenda ugumu wakat moyon nausharo ugangstar sio kuvuta ndumu nijpange ntafute mibalo kama pesa hazilali mtaftaji nsichonge kitanda asali ikiwa juu ya dali mlinaji nsichome kibanda alisema mjini mipango sio urefu wa maghorofa samaki akiliwa na chambo jua mvuvi ameshaanza ulofa nsinywe gongo na biscuit ukadhan ndo janja teja nkaze buti ili nijiboost wapinzani wasiniteki nega kama muda ni pesa nifungue akaunt ya saa usiseme boom linatesa uku principal anashnda baa maisha tu hela za kanumba nisiogope kufa kiuongo mimba ya mjinga haina mkunga ntafute ujanja kwa somo nisimdharau fukara kisa nmemzidi kipato mtoto nsimfanyie tohara akikua aniite pilato fisadi akiwa jogoo tetea nitafte kambi (heeyii) muziki unakwashakoo nsiache kumiliki kitambi alisema.
Nifanye nachofanya wala mimi nsizubae uwezo nnao (alisema)maneno yakisemwa wala mimi nsishangae niachane nayo (alisema) ubinadamu kazi (alisema) nsiwe naharaka na maisha (alisema) nisichague kazii (alisema) nakumbuka iiiyee.
see lyrics >>Similar Songs
More from Stamina Shorwebwenzi
Listen to Stamina Shorwebwenzi Alisema ft. Jux MP3 song. Alisema ft. Jux song from album Alisema is released in 2012. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Stamina Shorwebwenzi.
Related Tags: Alisema ft. Jux, Alisema ft. Jux song, Alisema ft. Jux MP3 song, Alisema ft. Jux MP3, download Alisema ft. Jux song, Alisema ft. Jux song, Alisema Alisema ft. Jux song, Alisema ft. Jux song by Stamina Shorwebwenzi, Alisema ft. Jux song download, download Alisema ft. Jux MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Giliad Mrema
Alfred Emmanuel00dq9
saf
Whitman OX
Big up sna
Elly Boe 23
4ever hiphop stamina de bad chater
immortalyrix
always stamina! kazi safi. big times
skizzye1h9a
nice
Hon Dee Der Deedo
My favourite music. Alisema ni bonge la hit. Stamina na Jux hapa mliweza. big up bros
moro arc