- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Majaribu - Bahati Bukuku
...
ukiinuliwa na wanadamu wanadamu watakushusha chini kuinuliwa na Mungu juu ni lazima utakuwa juu,×2
cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima lionekane juu×2
ooh mbona unalia ni Mungu akiweka juu
ni Mungu akiweka juu lazima Mambo yako yatakuwa juu
hawezi kuicha waIsraeli kwenye ramani ya dunia,amini usiamini utapata tabu maana ni Mungu kainua
cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima kionekane juu
ukiinuliwa na wanadamu wanadamu watakushusha chini kuinuliwa na Mungu juu ni lazima utakuwa juu cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima kionekane juu
oohh utakuwa juu ni Mungu atakuweka juu kimaisha utakuwa juu ni Mungu atakuweka juu kielimu utakuwa juu ni Mungu kakuweka juu ni Mungu kakuweka lazima mambo yako yatakuwa juu
ooh Oho usilie wewe ni dhahabu ×2dhahabu ikipitishwa kwenye moto lazima litang'aa tu
dhahabu ni tofauti na jiwe jiwe likipita litapasuka tu
see lyrics >>Similar Songs
More from Bahati Bukuku
Listen to Bahati Bukuku Majaribu MP3 song. Majaribu song from album Nimesamehewa Dhabi is released in 2013. The duration of song is 00:09:01. The song is sung by Bahati Bukuku.
Related Tags: Majaribu, Majaribu song, Majaribu MP3 song, Majaribu MP3, download Majaribu song, Majaribu song, Nimesamehewa Dhabi Majaribu song, Majaribu song by Bahati Bukuku, Majaribu song download, download Majaribu MP3 song
Comments (21)
New Comments(21)
kibweg14dm
joseph kayandaa
Very True.keep it Up
machoojr
amen[0x1f623]
toly OIGEN
amen
veriana2ats
nice song
Lukongo
Cha mungu hakitakufa bali la binadam itaisha
Ephreme Nsabiyaremye
nic song
Graceecshte
ubarikiwe mama
Phellow
Favorite
Georgemvr
mwamba wenye madini unakologwa. barikiwa sana na huu wimbo
hauled xon
Cha mwadamu kitakufa tu mm ni dhahabu
amina