Siku 462 ft. Walter Chilambo
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
aah aah aaaaah tongo record bin laden
bila mkono wako na neema yako huruma
zako nisinge kuwepo
bila msaada wako ooh woooh
na macho ya ko kunitazama nisingelikuwa hai wooh uwooh ooooh ooohhh aaaah Asante aaah Asante wooh uwoh aah Asante Asante eeh
kweli nimeamini duniani tunapita na akuna wakubisha pale MUNGU anapokuita nilikua kama mfu siku chache zilizo pita Asante sana MUNGU umenipigania hii vita nilikuwa kwenye dhihara tunaita chaka kwa chaka ilikuwa na neema na imejaa baraka tulianzia manyoni mto wa mmbu na babati chato bukoba tarime shirati kakora kagongwa mbalali na kahama tukarudi kigambon I new rasko dar es salaam baaada ya siku chache nikarekea mafinga chunya makambako chombe mpaka mbinga nikaenda mbeya na kumalizia songea ilibidi nikatize dhihara sikuendelea baada ya dhiara ndefu nilijisikia kuchoka ilibidi nirudi home ila uchovu haukutoka jan 24 mwaka 2022 nilijisikia vibaya na kudhohofika mwili mke wangu alinikimbiza hospital ya kitengule baada ya hudama ya kwanza walinikimbiza lugalo hali ilikuwa mbaya wakanipima upesi upesi walinikimbiza muhimbili kwa ambulance ya jeshi nilipofika muhimbili moja kwa moja i.c.u Asante sana MUNGU kila wakati I see you
bila mkono wako na neema yako
huruma zako nisingekuwepo
bila msaada wako ooooh ooh
na macho yako kunitazama nisingelikuwa hai
wooh wooooooh oooooh Asante aah Asante
wooooh Asante Asante
see lyrics >>Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Siku 462 ft. Walter Chilambo MP3 song. Siku 462 ft. Walter Chilambo song from album Siku 462 is released in 2023. The duration of song is 00:07:32. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Siku 462 ft. Walter Chilambo, Siku 462 ft. Walter Chilambo song, Siku 462 ft. Walter Chilambo MP3 song, Siku 462 ft. Walter Chilambo MP3, download Siku 462 ft. Walter Chilambo song, Siku 462 ft. Walter Chilambo song, Siku 462 Siku 462 ft. Walter Chilambo song, Siku 462 ft. Walter Chilambo song by Professor Jay, Siku 462 ft. Walter Chilambo song download, download Siku 462 ft. Walter Chilambo MP3 song
Comments (34)
New Comments(34)
161564699
Xavery Luoga
Tupo nawe Kamanda!
Ommy Guizer
[0x1f625][0x1f625] Daaah! mungu akulinde brother #professor jay [0x1f60e][0x1f60e]
Emmanuel begsn
Pole sana bro. Hakika Mwenyezi Mungu anamakusudi yake juu yako.
168800068
daah pole sana yatapita 2u
Tozzy Clever Tz
pole saaana and congrats..
Protas hamis
[0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f623][0x1f623]
Deleted User
This comment has been deleted.
mrsinia
Dah! Pole sana jay...haya yote aliyapitia marehemu baba yang all in all rest in peace dady [0x1f653][0x1f653]
Yasri Kombaqphn3
daah hii nyimbo inaleta isia sana tena mungu tusaidie waja wako kweli leo tunaamini upo mungu wa mbinguni
[0x1f625][0x1f60e]
kileo Michael
[0x1f653][0x1f653][0x1f653]
Pole sana mungu akukind