- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2001
Lyrics
Niamini - Professor Jay
...
*Niamini sema nataka uwe na mimi, mama
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi, eeh
Hivi kwanini sema hutaki kuniamini mama, nyayo ziko pamoja mpaka siku ya kifo, uanze wewe au mimi*2
Nakupenda sana ingawa wanakuita demu wa uswazini,penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini kipepeo cha moyo, we sema unachotaka.
Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka tulipanda milima tukaja kwenye mabonde,
Na sasa ni tambarare, tufanye wanga wakonde kwani tunapopita wamemwagia mbigili njoo nikumbatie, tufe tukiwa wawili.
Ushangae tukigombana tu wanafurahi, na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi.
Walishakuja kwangu kunipa habari zako, nikawatoa mbio kulinda heshima yako.
Kwangu wamenishindwa wamegeuza kibao, changanua mapema upime akili zao.
Ni maisha yo Liz, twende tujikongoje,
see lyrics >>Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Niamini MP3 song. Niamini song from album Machozi Jasho Na Damu is released in 2001. The duration of song is 00:05:53. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Niamini, Niamini song, Niamini MP3 song, Niamini MP3, download Niamini song, Niamini song, Machozi Jasho Na Damu Niamini song, Niamini song by Professor Jay, Niamini song download, download Niamini MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Tembo Mnyama Brand
Adamytz
@saiz_uki_muimbia_X_wako_ngoma_kama_hiii_Lazima_arudi
#teamsupuyamawenation2007
wazee wameenda na mziki wao
Dah mim nashindwa nisemenin nashowezakusema huundomziki aiseee
#teamsupuyamawenation2007
wazee wameenda na mziki wao
jonas yohan
Dah mim nashindwa nisemenin nashowezakusema huundomziki aiseee
dickmiles junior
Nice song huu ndo mziki unaoishi
Jox97
Hii ndo fasihi
Moja kati ya ALBUM inayoishi #MachoziJashoNaDamu