- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Wewe - Kontawa
...
Ni kweli pesa sina nacheza michezo ya bahati nasibu
Na mi nakomaa nishike vipesa kama kina nasibu
Madubwi ya wachina yanamaliza vichenj kila nikijaribu
Hvi leo ntakula kweli namuuliza mwanangu ibrahim hajibu
Kuna wanangu wavuvi baharini wanavua fishh
Ila wakipata pesa kidogo mtaani wanavua pii
Alafu kuna huyo fundi ujenzi babu magege
Yeye kutwa anabeba zege
Ila ukimwambia njoo kuna mabebe
Anakuja na fuko la chips zege
see lyrics >>Similar Songs
More from Kontawa
Listen to Kontawa Wewe MP3 song. Wewe song from album Wewe is released in 2023. The duration of song is 00:03:08. The song is sung by Kontawa.
Related Tags: Wewe, Wewe song, Wewe MP3 song, Wewe MP3, download Wewe song, Wewe song, Wewe Wewe song, Wewe song by Kontawa, Wewe song download, download Wewe MP3 song
Comments (16)
New Comments(16)
xam king
Missmary official.Tz
Me nachekaga tuu ila kontawa anajuaaaa aiseeeee Yaani ni Mwendo wa kuwanyoshaa
Deleted User
[0x1f63f][0x1f63f]
Nyemo Robert
ni noma sana asee
Jasimini Ramadhanirtga2
nomaaa
Agness Sarakikya
wow was nice song i like it's
Boyka Khalfanj3l8r
nikweli walicho nacho hatuna yani nyumba inapaa na ndege inapaa. wewe wewe[0x1f601][0x1f601][0x1f601]
Allykhamisi
Mshikaji anajua sana
mrsinia
goma qali sana...weweee! [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Official Davoo
Sijawahi kutoa coment boomplay hilaHili ni Dude
127607188
kazinzuli broo
akydully
wewew
wap wananguuu wa spanaaaa[0x1f627][0x1f627]