Sura Ya Baba
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Sura Ya Baba - Kontawa
...
eeeheeh aah round hii milima imekutana eeh me nachekaga eeh eeeh eeh sura ya Baba yeye yeye ye yeye aah moyo ukiamua kupenda bwana ndo umependa unaweza ukacheza yanga na bado ukaipenda Simba anadai ntampa nini? mtu mwenyewe sina mavumba ebu mwambieni Mimi nimepanga ntampa
mimba najua anajiona mzuri ila ajakamilika maana anasura nzito hadi naogopa kujivisha ana wowo kwanza umbo namba tisa kifuani ana ziwa kubwa zaidi ya ziwa Tanganyika aah! na! kwakusema kweli akiacha malingo mama naapa sito mchiti aki breed mwaka mzima kwenye mchenzo wa mapenzi me mchezaji mzuri Sana maana Hadi mpira wa condom huwa naupiga danadana kwake Nina wivu kama wote mapenzi kama yote aje ulimwenguni nimpe Raha kama zote na dubwana kama lote maudambi kama yote aje nimpe mimba azae watoto kama wote namna linga kama nini? Sura ya Baba namtandaoni wazuri nyinyi sura ya Baba kila kitu mnajua nyinyi sura ya Baba mnazarau hivi kwanini sura ya Baba aah ooh sura ya Baba aah eeh sura ya Baba aah ooh sura ya Baba aahaah eeeh sura ya Baba Baba ako Baba ako eeh akipiga picha Mia mzuri anapata moja anaumbo zuri ila sura kama akokwa eeh mda wote anapaka poda ukitaka umuone mzuri kunywa bapa moja mahaba niuwe kamwambia baby gani oooh! baby gani eeh be hambo seat down na sikia subira uvuta heri sikuizi anavuta sigara nimewaza nje ya box kwenye ngima ya mduara yaani vururu mvalala pululu palala hata afugwe kama Simba mi ajimanara na kwake nina wivu kama wote mapenzi kama yote aje ulimwenguni nimpe mapenzi kama yote dubwana kama lote maudabwi yote
aje nimpe mimba azae watoto kama wote
na analinga kama nn sura ya baba, mitandaoni wazuri binti
sura ya baba kila kitu mnajua nyingi sura ya baba mnazarau sana nyinyi sura ya baba
aoooo!!! sura baba. aeeee eee, sura ya baba aooooo ooo sura ya baba eee eee sura ya baba
Similar Songs
More from Kontawa
Listen to Kontawa Sura Ya Baba MP3 song. Sura Ya Baba song from album Sura Ya Baba is released in 2019. The duration of song is 00:03:13. The song is sung by Kontawa.
Related Tags: Sura Ya Baba, Sura Ya Baba song, Sura Ya Baba MP3 song, Sura Ya Baba MP3, download Sura Ya Baba song, Sura Ya Baba song, Sura Ya Baba Sura Ya Baba song, Sura Ya Baba song by Kontawa, Sura Ya Baba song download, download Sura Ya Baba MP3 song
Comments (30)
New Comments(30)
Yahya Abdallaitetc
Dickson Arnold chanja
nice
Taimour Jimiaa kharbush
[0x1f63f][0x1f63f]
paul chachaed2u4
ngoma kali sana hii
poko-beats
aloo umeua kaka
Ramadhani Rashidwrmi7
sur y bb [0x1f636][0x1f636][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
151999002
unym2 mjuba*
uliua
Sadam9baxa
pw sana
Anody mwakipesile j5v94
[0x1f636][0x1f636]
Youngkobah
xanaa
Youngkobah
sura ya baba
upo,vizuri