
Maisha katika dunia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Maisha katika dunia - Papi Clever & Dorcas
...
Maisha katika ndunia ni Kama kupanda na mvua
Apandaye katika mwili atavuna ingali mbivu
(Tukitumikia mwokozi tutupata tawabu mbinguni
Yafaa tuishi na kufa katika maneno ya Mungu)*2
Kwa neema kubwa kabisa tumekubaliwa na Mungu
Kwa neema kubwa zaidi twapata kumtumikia
(Kuishi kwa akili ya yesu Kari yote ya ndunia hii
Nakuitangaza ijiri ni faida kwetu kabisa)*2
(wakristo watakapo ingia mbinguni kusifu mwokozi
Na Mimi nataka kufika kuimba pamoja na wao)*2
see lyrics >>Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas Maisha katika dunia MP3 song. Maisha katika dunia song from album AMENIWEKA HURU KWELI (Nyimbo za wokovu) ALBUM 2 is released in 2023. The duration of song is 00:04:42. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: Maisha katika dunia, Maisha katika dunia song, Maisha katika dunia MP3 song, Maisha katika dunia MP3, download Maisha katika dunia song, Maisha katika dunia song, AMENIWEKA HURU KWELI (Nyimbo za wokovu) ALBUM 2 Maisha katika dunia song, Maisha katika dunia song by Papi Clever & Dorcas, Maisha katika dunia song download, download Maisha katika dunia MP3 song