Waliaminio Neno Lake Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Waliaminio Neno Lake Mungu - Papi Clever & Dorcas
...
Waliaminio neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji, kwani Bwana Yesu alituahidi atathibitisha neno kwa ishara.
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!

Kati’ vita kali tuwe na ‘hodari, Mungu ndiye nguvu yetu ya ajabu! Tu’amini neno: Na ishara kubwa ziatafuatana na waaminio.
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!
Nguvu ya kupiga vita ya imani, nguvu ya kupinga hila za shetani! Yesu amesema: Na ishara kubwa zitafuatana na waaminio.
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!
Shinda, shinda, nguvu ya kushinda! Shinda, shinda, shinda kila saa! Mungu atatupa nguvu ya kushinda, Tumtii Yesu nasi tutashinda!
Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas Waliaminio Neno Lake Mungu MP3 song. Waliaminio Neno Lake Mungu song from album Waliaminio Neno Lake Mungu is released in 2024. The duration of song is 00:05:16. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: Waliaminio Neno Lake Mungu, Waliaminio Neno Lake Mungu song, Waliaminio Neno Lake Mungu MP3 song, Waliaminio Neno Lake Mungu MP3, download Waliaminio Neno Lake Mungu song, Waliaminio Neno Lake Mungu song, Waliaminio Neno Lake Mungu Waliaminio Neno Lake Mungu song, Waliaminio Neno Lake Mungu song by Papi Clever & Dorcas, Waliaminio Neno Lake Mungu song download, download Waliaminio Neno Lake Mungu MP3 song