Sijawaza
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Sijawaza - Stability tz
...
sio sura tuuu Bali shape na tabia
navyokupenda takuja kukuchumbia
unaiweka roho juu kifupi inakimbia
yaani sitoipata nafuu kifupi ntajifiaa
majiran wanaona Gere na sisi kuacha mwiko
acha mwapige tu kelele hatuachani mpaka kifo
Tunawakera tukiwa mbele mapenzii pia kipato
penzi lizidi songa mbele nasi tumeshakula kiapo
Oona ukipota kulia,napita kushoto
mambo Kwa sita nakutandika mboko
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Stability tz Sijawaza MP3 song. Sijawaza song from album Sijawaza is released in 2023. The duration of song is 00:03:32. The song is sung by Stability tz.
Related Tags: Sijawaza, Sijawaza song, Sijawaza MP3 song, Sijawaza MP3, download Sijawaza song, Sijawaza song, Sijawaza Sijawaza song, Sijawaza song by Stability tz, Sijawaza song download, download Sijawaza MP3 song