Sijawaza Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Sijawaza - Stability tz
...
sio sura tuuu Bali shape na tabia
navyokupenda takuja kukuchumbia
unaiweka roho juu kifupi inakimbia
yaani sitoipata nafuu kifupi ntajifiaa
majiran wanaona Gere na sisi kuacha mwiko
acha mwapige tu kelele hatuachani mpaka kifo
Tunawakera tukiwa mbele mapenzii pia kipato
penzi lizidi songa mbele nasi tumeshakula kiapo
Oona ukipota kulia,napita kushoto
mambo Kwa sita nakutandika mboko
napita pekupeku kama mpoto oonanaaa naaa
ukipita kulia napita kushoto
mambo Kwa sita nakutandika mboko
napita pekupeku kama mpoto ooh nana naaaah
chorus
kukucheat sijawaza sijawaza
yaani nikusaliti
sijawaza sijawaza
nikufanye uwe mpwekee
sijawaza sijawaza
yaan wewe
sijawaza sijawaza
you my desire,you take of my mind
I never retire to this love
Ile kitu utamu sio mpaka nionbe unanipa mwenyewe
vile nalewa utamu yaan wew
yaan nikuache wew niende Kwa mwingine
moyoni itaniumiza hapana...... hapana
hisia zangu na zako zimefungamana
mapenz yangu na Yako yamefungamana
sitoweza kukusaliti wee nikuache mpweke
ukipita kulia napita kushoto
mambo Kwa sita nakutandika mboko
napita pekupeku kama mpoto aii weweee!!!
chorus
kukucheat sijawaza sijawaza
yaani nikusaliti
sijawaza sijawaza
nikufanye uwe mpwekee
sijawaza sijawaza
yaan wewe
sijawaza sijawaza
sijaa iiiiiii
yeisa this is stable stability ______$&lv