Hasara
- Genre:Jazz
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwenzenu nyota yangu butu, hivyo naiona kero dunia
Yaani simba nala vibudu, sinaga kushoto wala kulia
Kifupi ananifanya fyatu, siishiwi machozi miye kulia
Hatakama ni adabu, basi angezipunguza twabia
Si angeniambia mapema, kama nafanya biashara ya hasara
Kuliko kunifumbua macho, kisha animwagie masala
Diana unaniumiza bwana, karma yako ya kufahama hapana
Siamini ghafla naona kifo, kwa haya unayoyafanya bila haya
Ndo donda ndugu umenitosha, imepinduka shilingi naiona
Tafaharani kunidanganya, kumbe mapenzi shilingi kuhongana
see lyrics >>Similar Songs
More from Ackley Taro
Listen to Ackley Taro Hasara MP3 song. Hasara song from album Hasara is released in 2023. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Ackley Taro.
Related Tags: Hasara, Hasara song, Hasara MP3 song, Hasara MP3, download Hasara song, Hasara song, Hasara Hasara song, Hasara song by Ackley Taro, Hasara song download, download Hasara MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
avrilashhlet
this is a jam hit man...