
Usiongopee
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Usiongopee - Kayumba
...
ukweli wa moyo nikuambie, unisikie, yakuingie Penzi si choyoo, ning'ang'anie yote unimwagie, nijisikie Nimebahatisha kukupata wee Kote nilipita nimchana wee sasa giza limeingia Nilibahatisha kukupata wee! Kote nilipita ni mchanaa sasa giza limeingia (usiniongopee) Usiniongopee usiniongopee, Usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee oyoyoo(usiniongopee) ooh usiniongopee Mapenzi ya siku hizi ni uchizi mapenzi ya siku hizi vitimbi mapenzi ya siku hizi ni akili mboovu Bora penzi la chizi mdoli unaupa usingizi moyoni Kila unomuuliza penzi atakwambia stress, hataki stress, kila kona kesi Ila ukimpa cash atakwambia yes, bomba fresh, zinatuponza face Nilibahatisha kukupata wee! Kote nilipita ni mchanaa sasa giza limeingia (usiniongopee) Usiniongopee usiniongopee, Usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee eeh! Ona moyo unadundadunda kwa wasiwasi una dundadunda Usije niacha nikachunachuna Moyo wangu unadundadunda (mooyoo) unadundadunda eeh! kwa wasiwasi unadundadunda usije niacha nikachunachuna kwa wasiwasi unadundadunda Nilibahatisha kukupata wee! Kote nilipita ni mchanaa sasa giza limeingia (usiniongopee) Usiniongopee usiniongopee, Usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee Usiniongopee usiniongopee, usiniongopee
Similar Songs
More from Kayumba
Listen to Kayumba Usiongopee MP3 song. Usiongopee song from album Fine Tape is released in 2023. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by Kayumba.
Related Tags: Usiongopee, Usiongopee song, Usiongopee MP3 song, Usiongopee MP3, download Usiongopee song, Usiongopee song, Fine Tape Usiongopee song, Usiongopee song by Kayumba, Usiongopee song download, download Usiongopee MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Athanas Masubo
Olga slz2r
Kayumba yo the best
Camo djef
kayumba Never desapoint
mrsinia
Kwer apo hujakosea mwamb mapenz ya siku hiz ni akili mbovu [0x1f604][0x1f604]
shaphkhan
nice song
Raja kaka maginga
nice
Ramoni Munisi
hot
bonge la nyimbo