Pita Huku
- Genre:Singeli
- Year of Release:2022
Lyrics
Pita Huku - Dulla Makabila
...
We mama mtu mzimaa ndoa ingekupa heshima
Kila kutwa mitandaoni ulidate na vitoto
Unadai mumeo anakitambi hawezi kupeleka moto
Awe mama pita huku
Uliaminiwa na kanisa
Ukaongoza kila misa
Ila ulijiona mungu mtu kisa unapesa sana
Uliamini ushirikina na kula kondoo wa bwana
Mchungaji pita huku
Kutwa unitukane ujachokozwa unagombana
see lyrics >>Similar Songs
More from Dulla Makabila
Listen to Dulla Makabila Pita Huku MP3 song. Pita Huku song from album Pita Huku is released in 2022. The duration of song is 00:04:56. The song is sung by Dulla Makabila.
Related Tags: Pita Huku, Pita Huku song, Pita Huku MP3 song, Pita Huku MP3, download Pita Huku song, Pita Huku song, Pita Huku Pita Huku song, Pita Huku song by Dulla Makabila, Pita Huku song download, download Pita Huku MP3 song
Comments (354)
Top Comments (18)
chadi boy 4545
£Ã~Yonna_Tz
Wanao mkubali dulla makabila naomba like zenu za mwisho wa mwaka>
costantino wpjiy
[0x1f605][0x1f605][0x1f605][0x1f605][0x1f602][0x1f602] wapiga punyeto mbona haja wataja ama wako sahihi [0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602] wapiga nyeto tupite huku[0x1f628][0x1f642][0x1f642][0x1f642]>
New Comments(354)
Alexander Lwiva
[0x1f627][0x1f636][0x1f600][0x1f617][0x1f62a][0x1f60a]
from Kenya it's a hit
eid nado
Saf kk
Beatrice Mwachaqmt6i
fundi
177314311
napita uku...
me napita huku..[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
177314311
Mkama d
174852997
Dula umetisha mwamba
kidujr
mlevi[0x1f602]
170022885
GHOST TZ
170022885
dullah anajuw nimeipenda hii
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
zerishizezhz
nawedula pita huku
kama unakubali kuwa dullah makabila ni king of singeri gonga like apa ili twende sawa>