
Kua Uone ft. EASY MAN
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kua Uone ft. EASY MAN - Beka Flavour
...
Sema nilipokua mdogo nilienjoy sana
Nilipokua mdogo nilienjoy jamani
Nilipokua mdogo nilienjoy sana
Nilipokua mdogo nilienjoy jamaa
Ikifika muda wa kula nabembelezwa nile
Ukifika muda wa kulala naambiwa kalale
Na alfajir mi naamshwa niende shule
Hakuna kulipa umeme hakuna kulipa maji
Hakuna gharama yoyote inayoniitaji
Hakuna kulipa umeme hakuna kulipa kodi
see lyrics >>Similar Songs
More from Beka Flavour
Listen to Beka Flavour Kua Uone ft. EASY MAN MP3 song. Kua Uone ft. EASY MAN song from album Kua Uone is released in 2022. The duration of song is 00:04:52. The song is sung by Beka Flavour.
Related Tags: Kua Uone ft. EASY MAN, Kua Uone ft. EASY MAN song, Kua Uone ft. EASY MAN MP3 song, Kua Uone ft. EASY MAN MP3, download Kua Uone ft. EASY MAN song, Kua Uone ft. EASY MAN song, Kua Uone Kua Uone ft. EASY MAN song, Kua Uone ft. EASY MAN song by Beka Flavour, Kua Uone ft. EASY MAN song download, download Kua Uone ft. EASY MAN MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Alex Tshilombo
Alex Tshilombo
Noma san
Alson Raymond
nzurii
juma ally Jumaxbh1v
,noma san
Philimon Mgongo
nice
TanzaniaBoomone1
singeli,,,, yani kuwa uyaone we weka like kama unazikuli singeli pia fans wa beka na easy man nione like zenu wapendwa
Togolamama9
❤️❤️❤️❤️❤️
Promise Nov9wp
wananguhee kama unamkubali beka fleuve na itaji like zenu
[0x1f607][0x1f607][0x1f607][0x1f641][0x1f647][0x1f640][0x1f630][0x1f613][0x1f612][0x1f608][0x1f603][0x1f613][0x1f630]