
Nitadumu Nae
- Genre:Taarab
- Year of Release:2016
Lyrics
yarabi iwe salama,salama salmin wasipate la kusema maadui asirani×2
mapenzi yawe ya daima,yasiingiliwe na mtu×2
waloomba 2achane,wasipate kutucheka katu,nyoyo zao ziwauume kwetu wametoka patupu×2 #PATUPU
VERSE 1
Nimemzimia kichizi,ndio mana niko nae,namfagilia mpenzi mpenzi inshaallah nitadumu nae.×2
tunapendana la azizi iwe maisha mimi nae×2
anavyojua mapenzi,sijaona kama yeye na kumkosa siwezi,mpaka nife na yeye×2
animaliza kwa pozi,na mapenzi yake yeye,,kusema yote siwezi siwezi hii siri yangu mie×2
oooh! wallah naona raha,raha kama nini,kwake sioni karaha huyu wangu hayuni,,
nitadumu nae kwa nguvu za manani×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Mzee Yusuph
Listen to Mzee Yusuph Nitadumu Nae MP3 song. Nitadumu Nae song from album Nitadumu Nae is released in 2016. The duration of song is 00:16:56. The song is sung by Mzee Yusuph.
Related Tags: Nitadumu Nae, Nitadumu Nae song, Nitadumu Nae MP3 song, Nitadumu Nae MP3, download Nitadumu Nae song, Nitadumu Nae song, Nitadumu Nae Nitadumu Nae song, Nitadumu Nae song by Mzee Yusuph, Nitadumu Nae song download, download Nitadumu Nae MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
MynaAlly
Shablue Kapera
nice
[0x1f621]