![It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tulianza na shujaa tukiongelea lupus/
Tukawafunza kwa kina tukawapea full track/
Ikafuata watoto na michezo/
I hope wenye watoto walifuata maelekezo/
Na asili halisi ilihusu tiba mbadala/
Uzima nje ya hospitali bila mlima wa dawa/
kisha zoeza matizi one two/
Tukawaamsha kupasha kuwa fiti huwa ni cool/
Ndipo tukaenda kwenye elimu siha/
Swala la pedi kwa moja nyingi tukagusia/
Na kwenye unao tuliungumzia muda/
Kwa mifano kibao kuuangalia kwa ukubwa/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:48. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe MP3, download It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe song download, download It's a wRap! ft. Adam Shule Kongwe MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
P-TahWaFuru
Adam ni hodari kwa hii shughuli. The beat pia gooosh, smooth sana.