![Funguka ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Funguka ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kwenye mitaa hii tunayokaa ama ku settle
Na kupitia maisha ya furaha na mateso
Kuna watu
Tunawafaham hadi kesho
Wanaficha vingi nyuma ya tabasamu na vicheko
Mfano wanandoa hawana noma wanachekeana
Wako poa hata wakitoka na mikono wanashikana
Hakuna tofauti yoyote wanaoneshana
Ila nyuma ni usaliti na sivyo inavyoonekana
Wanavyoishi utahisi hawajaweza kung'amua
Ila ukweli ni kwamba kuna mwenza kashajua
Au mtu anajua ana ugonjwa
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Funguka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Funguka ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:05:09. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Funguka ft. Adam Shule Kongwe, Funguka ft. Adam Shule Kongwe song, Funguka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Funguka ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Funguka ft. Adam Shule Kongwe song, Funguka ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Funguka ft. Adam Shule Kongwe song, Funguka ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Funguka ft. Adam Shule Kongwe song download, download Funguka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song