![Mikopo ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Mikopo ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina tafiti yoyote ila nabonga kwa ujasiri/
Kwamba wote mnajua kuwa kukopa ni nini/
Na ili mada iwe tamu uskute wote mnadaiwa hapa/
Mnabisha? Mbona wote hamuitikii sasa/
Iza, hiyo ni commercial break/
Haya wote turudini katika mada yetu hii/
Kwanza jiulize kwa nini unakopa/
Jishauri au omba ushauri kabla ya kutoka/
Jua utafanya nini kisha ukakope/
Sio ukope ndo utajua kichwa matope/
Na tafuta mikopo yenye riba nafuu/
Watu wengi wameumizwa kwenye riba za juu/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Mikopo ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:04:25. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Mikopo ft. Adam Shule Kongwe, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Mikopo ft. Adam Shule Kongwe song download, download Mikopo ft. Adam Shule Kongwe MP3 song