![Pumzika ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Pumzika ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
We Ukiskia kupumzika huwa unaelewa nini/
Huenda unavyoelewa wewe sivyo navyoelewa mimi/
Amini kwamba Ila amini usiamini/
Wote tuko sawa tunapozungumzia hili/
Kila mtu hupumzika anavyojua yeye/
Kwa muda na mahali anapokuwa yeye/
Nje au ndani Asubuhi au jioni/
Unatembea, umekaa, umetulia au umembonji/
Utachagua mwenyewe njia ipi ni ipi/
Pumzika uboreshe afya ya akili na mwili/
Punguza stress weka kumbukumbu sawa/
Imarisha kinga ya mwili, mizuka sana/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Pumzika ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:57. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Pumzika ft. Adam Shule Kongwe, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Pumzika ft. Adam Shule Kongwe song download, download Pumzika ft. Adam Shule Kongwe MP3 song