![Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Shida kidogo tu murder kill kill/
Kweli magonjwa ya akili ni real/
Unachinjaje mtu kisa kakukataa/
Sababu nyingine unashindwa hata kushangaa/
Aaa na hizi ndoa za kufosi/
Tunafosi sana mwisho tunazoa na mikosi/
Mtu ukimuoa bila yeye kupenda/
Ana asilimia kubwa kuwa na wenge la kwenda/
Kingine ni tamaa ndogo ndogo/
Wife unaye bado unakaa kwa dogo dogo/
Bronzo ishirikishe akili/
Kama vipi muhalalishe mfanye mke wa pili/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:04:20. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe song download, download Shusha Mkono ft. Adam Shule Kongwe MP3 song