Madoido ft. Shetta Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Madoido ft. Shetta - Hamadai
...
Mi kwako nshazimikaa
Nikitaka kwenda mbali roho inasita baby
Kwenye moyo wake unamimika
Nikipatacho kwako naridhikaga
Mimi kwako naenjoy nikafate nn kule
Ataposho sitoi wanipa vyote bure
Sitaki poteza hii bahati nitajikondesha bure
Baby you're so smart lemetesuree
Ma makata wajini jini (jini jini
Yanalia mbwata laini laini (laini
Samata natia golini (golini
Nono no no no
Basi waoneshe yako madoido (madoido
Madoido baby madoido (madoido
Mwenzako mi nataka kuona madoido (madoido madoido
Kama huna tako tingisha kifua (madoido
Weka mashauzi na jicho rembua (madoido
Onesha tabasamu ama kenua (madoido madoido madoido
.........
Maringo kama twiga tototo
Mwendo ka umekanyaga kokoto
Si nimekununulia skokonko
So sina haja yakukuvizia chochocho
My dear husiende mbali come here
Njoo unipe asali najambia
Jua zege halilali so chap here
Sof alikukaba tutafika kwa baba
Tutafunga makataba mi na we
Kwenye ndoa ndani siku saba
Watt watavaba
We ni haba nami haba tujaze kibaba
Mimi kwako naenjoy nikafate nn kule
Ataposho sitoi wanipa vyote bure
Sitaki poteza hii bahati nitajikondesha bure
Baby you're so smart lemetesuree
Ma makata wajini jini (jini jini
Yanalia mbwata laini laini (laini
Samata natia golini (golini
Nono no no no
Basi waoneshe yako madoido (madoido
Madoido baby madoido (madoido
Mwenzako mi nataka kuona madoido (madoido madoido
Kama huna tako tingisha kifua (madoido
Weka mashauzi na jicho rembua (madoido
Onesha tabasamu ama kenua (madoido madoido madoido
..