Nainjoy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nainjoy - Hamadai
...
Mwenzenu nimeacha kulia
Mapenzi hayaniumizi tena
Raha najifaidia hizi ndizo za mungu neema
Toto limening'ang'ania
Kasema ananipenda aniachi tena
Kutwa ananisifia eti kama mimi hakuna tena
Baridi silisikii wala joto silisikii
Njaa siisikii wala shibe siisikii
Nipo kati kati nainjoy hili penzi nainjoy
Katikati nainjoy katikati penzi ooh
Ona nipo katikati nainjoy katikati
Ooh ili penzi nainjoy katikati
Katikati nainjoy katikati
Penzi nainjoy
Kama penzi lake bahari bora nilowane nilowane
Mshenga peleka barua kwa wazazi
Tuoane tuoane
Nakwenye sherehe mpunga mixer viazi vifinyane vifinyane
Haya wako wapi wako wapi wale
wakumwaga radhi tujuane tujuane
Mi mwenzenu baridi silisikii wala joto silisikii
Njaa siisikii wala shibe siisikii
Nipo kati kati nainjoy hili penzi nainjoy
Katikati nainjoy katikati penzi ooh
Ona nipo katikati nainjoy katikati
Ooh ili penzi nainjoy katikati
Katikati nainjoy katikati
Penzi nainjoy