![You're mine](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/04/479641ee06fe4de6b63d516b4f1825faH3000W3000_464_464.jpg)
You're mine Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Wewe ni wangu you're mine
Wewe ni wangu you're mine
Urembo wako unanifanya mimi ni pagawe mama
Hadi wa leo tangu tujuane
Zimepita miaka si tukipendana
Kabidi pia tuvumiliane
You still make me happy
Still make me feel like it's my pay day
You're still my one n only
Because of you am no longer Mr lonely
Eeh eeh eeh
Me I say
We cover
Another
Miaka
Hamsini themanini
Eeh eeh eeh
Me I say
We cover
Another
Miaka
Hamsini ama themanini
Uuuw
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na mimi ni wako
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na mimi ni wako
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na Mimi ni wako uuuuw
Unavo ni pakulia chukua chenye mi upenda
Hata ka chai staki wakinipe
Majirani unavoishi nao vyema
Mi ata chifu sina kesi na yeye
Wee si wa ulimwengu
Yani Mungu kanipa one of His angels
Kanizawadi bure
Tabia na sura zimeenda shule
Eeh eeh eeh
Me I say
We cover
Another
Miaka
Hamsini themanini
Eeh eeh eeh
Me I say
We cover
Another
Miaka
Hamsini ama themanini
Uuuw
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na mimi ni wako
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na mimi ni wako
Wewe ni wangu you're mine
Oh yeah
Wewe ni wangu you're mine
Na Mimi ni wako uuuuw
Wanakuiga wenzio
Wape mafunzo
Au sio
Cheza mami
Cheza nami
Cheza mami
Cheza nami
Cheza mami
Cheza nami
Yeah
ooh oh ooh
Jnm John
Wewe ni wangu you're mine
Wewe ni wangu you're mine
Wewe ni wangu you're mine
Wewe ni wangu you're mine
Na mimi ni wako uw
Wewe ni wangu you're mine