![she wanna](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/29/787500228cd14f31988e3b8b58ab1fd5H3000W3000_464_464.jpg)
she wanna Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Jnm John
She saw me on tv kwenye streets hizi a couple of days ago nikiwa na machizi
Tumebeba juu mabengo
Hatuna tuu maneno ila lengo letu ukiwa ni
Serikali sikizeni juu sai sisi wananchi ndio wapinzani
Kanipenda mama kanisaka sana kanipata jana
Hautaki tuje kuwachana ye ye
She saw me on tv
Marching for my rights on the streets
Of Nairobi CBD
Ye ye
She saw me on tv
Marching for my rights on the streets
Of Nairobi CBD yeah
She wanna be mine
She wanna she wanna be mine
She wanna she wanna she wanna be mine
She wanna she wanna be mine
She wanna she wanna she wanna be mine
Anapenda tukishikana mikono barabarani
Kila tunapo tembea
Wanabaki watu wakiuliza hawa kina nani
Wanadamu huongea umeiva mama unateketea
Ni zalie wana mi ntakulelea
Umeiva mama unateketea ni zalie wana me ntakulelea
She saw me on tv
Marching for my rights on the streets
Of Nairobi CBD
Ye ye
She saw me on tv
Marching for my rights on the streets
Of Nairobi CBD yeah
She wanna be mine
She wanna she wanna be mine
She wanna she wanna she wanna be mine
She wanna she wanna be mine
She wanna she wanna she wanna be mine
Kanipenda mama kanisaka sana kanipata jana
Hataki tuje kuwachana ye ye
She saw me on tv
Marching for my rights on the streets
Of Nairobi CBD