![Nikuoe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/29/9871d7727a1d41d5b17bfb677c5b93c9H3000W3000_464_464.jpg)
Nikuoe Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Jnm John
This for you baby
Kama ni za wenzie madem
Si wee wajua hapo mimi sipo
Hata na ndio maana watu huniita
Mr one man mr one woman
Just like a thief in the night in the night my baby
Just when you came into my life day one my lady
You stole my heart and no no no no am not hurt
I'm a happy man that you did it
You stole my heart and no no no no am not hurt
I'm happy am happy
Simama nami hatharani mkono nipe honey
Nikuoe nikuoe
Simama nami hatharani mkono nipe honey
Nikuoe nikuoe
Njoo watu watuone
Ndugu na jamaa
Wafurahie
Njoo watu watuone
Ndugu na jamaa
Wafurahie
In a very special way in this very day
Tuna validate our mapenzire
Tupige sheree kisha there after take you to your new home tutakapo stay
Ok baby I won't go far away nita kuprotect
Toka kwa mikono ya wabaya wetu
Ikibidi twende far away
Tena baby tuzae na watoto tu celebrate ni agizo la Mungu kwetu wawili
Kwa sasa ni mmoja mwili
Ok baby baby kwanza umenikamata
Baby baby usije niacha kwenye mataa
Mwenzako ntadedi
Njoo
Njoo watu watuone
(watu watuone)
Ndugu na jamaa (ndugu na jamaa)
Wafurahie (wafurahie)
Njoo watu watuone
Ndugu na jamaa
Wafurahie eh eh eh eh eh eh eh eeeh
Watuone
Ndugu na jamaa
Wafurahie