Hakuna juju Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Hakuna juju eeh
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju eeh eeh eeh
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju eeh eeih
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju hakuna jujure
Ni nguvu za Mungu
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo ooh
Waiyo waiyo ooh ooh ooh
Nilikua nimechoka na aah
Mambo yote ninayo ona aah
Hakuna nilichofanya nikafanikiwa
Hadi kichwa changu nikachanganyikiwa
Nilikua nahisihisi kizungu zungu
Hadi hadi nikamlilia Baba Mungu
Kwenye magoti
Kwenye magoti
Yeye alinisikia na...
Eeh akajibu maombi
Eeh alinisikia na...
Akanijibu maombi jibu maombi
Hakuna juju eeh
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju eeh eeh eeh
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju eeh eeih
Ni nguvu za Mungu
Hakuna juju hakuna jujure
Ni nguvu za Mungu
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo ooh
Waiyo waiyo ooh ooh ooh
Aah aah
Umelala
Umeamka salama
Umesoma
Ukapata hilo kazi
Ulikua mgonjwa
Sasa umepona
Ulikua na njaa
Umepata chakula
Ulitaka karo ya shule
Mungu amekupa
Maombi yako sio hasara
Maombi yako anasikia
Maadui zako watabaki wakishangaa
Maadui wote watabaki mdomo wazi
Na ujue aah aah...
Yote ni nguvu
Za Mungu
Yote ni nguvu
Za Mungu
Yote ni nguvu
Za Mungu
Yote ni nguvu
Za Mungu
Ndo maana
Tunaye eeh tunaye tunaye
Hatumwachi Baba
Tunaye tunaye tunaye
Hakuna kizungu zungu
Tunaye kwake tunaye tunaye
Ndo maana
Tunaye tunaye tunaye tunaye tunaye
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo
Waiyo waiyo ooh
Waiyo waiyo ooh ooh ooh